Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Habari wakuu, naombeni msaada, nahitaji kubadilisha TIN number ya kawaida kuwa ya biashara online, kwa aijili ya chombo cha moto aka bajaj, sasa huku online naona mapichapicha tu nimefika level...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Pamoja na safari za nje kuongezeka kwa kasi na kuvunja rekodi ya nchi ambayo rais wake hufanya safari sana still mafuta yanazidi kupanda Pamoja na hii serikali kujipendekeza kwa waarab kupita...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Wakuu,...unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana..halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda...
9 Reactions
53 Replies
433 Views
Hivi ndivyo tunavyotakiwa kusema, kwani Kuna mtumishi Moja ametoka kusherehekea MEIMOSI napa Arusha ana huzuni kubwa kwani hakuna hata tarajio Moja lililosemwa kama motisha kwa WAFANYAKAZI...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wengi wanaogopa sana kujenga ghorofa wakizani labda mpaka uwe na pesa nyingi ndio ujenge. Ukiamua hakuna kinachoshindikana, kama umeweza kujenga nyumba ya chini,jua una uwezo pia wa kujenga...
34 Reactions
120 Replies
19K Views
Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake. Mwaka huu Mei Mosi tena imepita hola. Wafanyakazi madai yao mmetuona kama nyama ya Nyongeza. Sasa nasisi tunajua pakushika. Tutaoneshana Umwamba...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ni raha sana pale unapoanza kazi kwa mara ya kwanza paaa salary hiyoo inaingia kwenye bank acount na kusoma 350k, 400k mara 570k au 700k na nk. Mwanzo mwa maisha ya kazi ni raha na utajihisi kuwa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Ndugu zangu Watanzania, Sina maneno mengi zaidi ya inavyosomeka hapo juu. Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania...
9 Reactions
156 Replies
1K Views
Nilivyokuwa Ilboru 1990-1993 niliambiwa miaka ya nyuma kulikuwa na kijana machachari sana ambaye alikuwa anaitwa Antiphas. Umachachari huo ulitokana na debate club za pale Ilboru ambazo zilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,197
Posts
49,539,679
Members
667,350
Latest member
mwamatenge jay
Back
Top Bottom