Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma. Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
20 Reactions
139 Replies
9K Views
Wanajamii habari za majukumu: Kesho jumatano ya tarehe 01-05-2024 pale Arusha katika viwanja vya sheikh Abeid Amani Karume kutafanyika Sherehe za wafanyakazi Wote wa Umma na binafsi. Sector zote...
3 Reactions
22 Replies
993 Views
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar. Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni...
11 Reactions
90 Replies
2K Views
Habari zenu wakubwa kwa wadogo. Kwanza napenda kutoa pole na shughuli za kutwa kwa wale wahangaikaji wote kama mimi ambao kila siku lazima tutoke ili tuweze kujipatia riziki halali kila siku...
78 Reactions
2K Replies
460K Views
Wakuu habari za jioni? Kama tittle inavyosema huyu ni mke wa mtu nilikuwa napiga zamani ila nikaamua kumuweka pembeni lakini bado haelewi somo anasema bora ndoa yake ivunjike ila sio kuachana na...
6 Reactions
26 Replies
378 Views
Mama yetu kukosekana kwako leo kwa kweli kumetusononesha sana sisi watoto wako. Sauti yako ilikuwa ni muhimu sana leo. all ini all kila lakheri kwenye majukumu yako.
0 Reactions
6 Replies
140 Views
Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika ukurasa wake wa Whatsapp ameandika haya, 👇👇 ==== " Mapema leo jijini Nairobi nchini Kenya nikihutubia katika Mkutano wa Shirikisho la Maendeleo la...
9 Reactions
24 Replies
708 Views
Ndugu zangu Watanzania, Sina maneno mengi zaidi ya inavyosomeka hapo juu. Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania...
11 Reactions
180 Replies
2K Views
1. Kwamba kinachoendelea Marekani ni jitihada za Serikali ya huko kupinga haki ya watu kujieleza?! 2. Kutokuheshimiwa huku kwa wazi kwa misingi ya kawaida kabisa ya utawala wa sheria, ni wa...
0 Reactions
13 Replies
104 Views
Wakuu matokeo ndo kamanavyoona ubaoni, nawakumbusha tu Wafanyakazi walikua uwanja wa Nyumbani leo. FT: Wafanyakazi 0:7 Wadudu "This life is hard and is not for the weak"
0 Reactions
2 Replies
36 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,237
Posts
49,540,566
Members
667,349
Latest member
mwamatenge jay
Back
Top Bottom