Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Imekuwa kama dharau kwa mzawa kocha Juma Mgunda kila timu inapopoteana (mwendelezo mbovu) na makocha wa kigeni kutimuliwa timu ya Simba sc huwa inamkubuka Juma Mgunda na kumpa timu tena. Nani...
1 Reactions
11 Replies
81 Views
kwanza nichukue fusa hii nikiwa mdau wa ball kupitia jukwaa hili la michezo la jamii forum kuzipongeza timu kutoka championship na kupanda ligi kuu. KENGOLD FC NA PAMBA FC, Hakika timu hizi...
13 Reactions
58 Replies
880 Views
Ndugu zangu Watanzania, Sina maneno mengi zaidi ya inavyosomeka hapo juu. Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania...
9 Reactions
162 Replies
1K Views
Pamoja na safari za nje kuongezeka kwa kasi na kuvunja rekodi ya nchi ambayo rais wake hufanya safari sana still mafuta yanazidi kupanda Pamoja na hii serikali kujipendekeza kwa waarab kupita...
0 Reactions
5 Replies
98 Views
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma. Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
20 Reactions
124 Replies
8K Views
Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo. Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake. Sikilizeni hapa cheche zake.
24 Reactions
106 Replies
4K Views
Mabingwa wa nchi Young Africans leo wanashuka dimbani kumenyana na Tabora United katika hatua ya robo fainali ya michuano ya CRDB Bank Federation cup. Mchezo huu utapigwa katika dimba la chamazi...
11 Reactions
39 Replies
552 Views
Habari wakuu, Naomba ushauri Wa Mark 11 grande GX 110 wanja yenye engine ya 1G beams 2000 ulaji wa mafuta na pia kama mtu anayo ya 2004 namba D iliyo nyooka tuwasiliane
1 Reactions
19 Replies
845 Views
Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake. Mwaka huu Mei Mosi tena imepita hola. Wafanyakazi madai yao mmetuona kama nyama ya Nyongeza. Sasa nasisi tunajua pakushika. Tutaoneshana Umwamba...
4 Reactions
35 Replies
273 Views
Wadau mtaniwia radhi kwa hili, Nimeshuhudia mara nyingi kwa wanasiasa kuwa leo ana msimamo huu kesho ule. Na leo limejirudia kwa Mkuu wa mkoa wa Arusha mheshimiwa Paul makonda. Wakati ule...
3 Reactions
15 Replies
328 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,212
Posts
49,539,963
Members
667,351
Latest member
mwamatenge jay
Back
Top Bottom