Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Haloo jukwaa la MMU.... Ngoja leo nitetee hawa malaika a.k.a maua a.k.a wanawake kuna swala fulani kwenye gender sijui niseme sisi wanaume hatufanyi sawa kwao. Hivi inawezekana vipi mwanamke...
8 Reactions
77 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Katika sherehe za leo zinazoendelea mkoani Arusha na kwa nanmna zilivyofaana na kupendeza na kuvutia na kubwa zaidi kwa namna watu walivyofurika na kumiminika ni haijawahi...
9 Reactions
97 Replies
2K Views
Alikuwa anaongoza vizuri tu tena kwa tofauti ya point nyingi ila now wameànza kumfanyia mtimanyongo. Jana marefa wa mchongo wamefanya ukhanithi wao mwisho wa siku Nabi kupoteza mechi muhimu...
1 Reactions
12 Replies
206 Views
Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha. Kitu kinachonitisha ni...
19 Reactions
5K Replies
530K Views
nimesikitika kuona Yanga sc kufungiwa kusajili kwa sababu ya kutomlipa pesa aliyekua mchezaji wa Yanga sc LAZARO kAMBOLE , kwa maelezo niliyoyapata ni kuwa FIFA waliiandikia barua YANGA mapema tu...
1 Reactions
22 Replies
140 Views
New Year Mapinduzi Karume Day Muungano Day Mei Mosi Saba Saba Nane Nane Day Nyerere Day Christmas Day Boxing Day Good Friday Easter Monday Eid El Fitr Mauli day id El Hajji[siku mbili] Mapinduzi...
1 Reactions
17 Replies
181 Views
GTs, Sijamuona Katibu Mkuu CDE Dkt Nchimbi na CDE Makalla kwenye Mei Mosi hapa Arusha. Ila nadhani kimoyo moyo walijisema lazima watu wasusie kwenda Arusha kisa Makonda. Ila kwa hiyo nyomi nadhani...
11 Reactions
30 Replies
829 Views
Heri ya sikukuu wana MMU. Nina scenario 2 za hili tukio kunitokea. 1. Jumatatu ya wiki iliyopita kulikuwa na mvua kubwa sana jijini dsm ambayo ilisababisha ukosefu wa usafiri wa daladala kwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Inasikitisha wastaafu kutoa kauli kama hizi
11 Reactions
24 Replies
510 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,174
Posts
49,539,065
Members
667,340
Latest member
Zimbadynasty
Back
Top Bottom