Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Si unasema umepinda basi kuna mwana huko Ujerumani amenyongoroteka kabisaa Baada ya miaka 12 ya mahusiano na mpenzi wake ...mwishowe mwanamke akaomba waachane akaenda mahakamani akidai apewe...
5 Reactions
29 Replies
540 Views
Hii inatokana na kurudia makosa mara kwa maranya kujifunga. Huyo jamaa ni mamluki na ni YANGA lialia
1 Reactions
13 Replies
289 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
41 Reactions
50K Replies
3M Views
Je, ni sawa kwa Mzanzibari kulalamika kero za muungano, lakini sio sawa kwa Mtanganyika kufanya hivyo? Kwanini Lissu anashambuliwa badala ya kujibiwa? Zanzibar kuna potential gani ya maisha as...
11 Reactions
27 Replies
453 Views
Amani iwe nanyi. Huwa nikiiangalia hii timu ya simba na aina ya wachezaji wake wa sasa hivi kisha nikiilinganisha na ile simba ya kampa kampa tena ya Kocha Patrick Aussem au Didier Da rosa huwa...
9 Reactions
17 Replies
386 Views
wakuu hali siyo powa, hivi ni kweli humu hakuna mtu anamhitaji mfanyakazi wa kumpa 3000 kwa siku nina Degree ya Accounting and Finance nipo Arusha ila ikiwa hiyo kazi ya 3000 ipo Arusha itapendeza...
5 Reactions
26 Replies
424 Views
Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo. Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni...
15 Reactions
95 Replies
2K Views
Hivi🤔 mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kweli🤷. Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani
1 Reactions
6 Replies
89 Views
Wakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo. https://m.youtube.com/watch?v=upbVqLpdVmk Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama...
14 Reactions
101 Replies
3K Views
Kwanza niombe moderators muiache hii thread ijitegemee, inaenda mbali zaidi ya kauli ya Lissu. Kama una akili timamu na za kutosha, utakuwa umegundua kwamba suala la kusema kero za muungano...
16 Reactions
43 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,989
Posts
49,534,481
Members
667,302
Latest member
kitenge ahmad ally
Back
Top Bottom