Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kama Lissu anaipigania Tanganyika iliyomezwa anakosa gani? Where is Tanganyika? Kwanini hakuna mamlaka ya bara inayoweza kuvuka bahari huku mamlaka ya Zanzibar inaweza kuvuka bahari...
22 Reactions
28 Replies
677 Views
Mabingwa wa nchi Young Africans leo wanashuka dimbani kumenyana na Tabora United katika hatua ya robo fainali ya michuano ya CRDB Bank Federation cup. Mchezo huu utapigwa katika dimba la chamazi...
7 Reactions
14 Replies
303 Views
Nauona mzigo mkubwa wa maswali magumu kutoka kwa mtu mwenye kujenga hoja na maarufu sana nchini, bwana Tundu lissu, watu wa mjini Kimara huku tunadiriki kumwita Toto tundu kuwaelemea kina Nape na...
2 Reactions
5 Replies
137 Views
Heri ya sikukuu wana MMU. Nina scenario 2 za hili tukio kunitokea. 1. Jumatatu ya wiki iliyopita kulikuwa na mvua kubwa sana jijini dsm ambayo ilisababisha ukosefu wa usafiri wa daladala kwa...
0 Reactions
1 Replies
26 Views
Habarini Wadau, Leo tarehe 1/5 ni siku ya maadhimisho ya sherehe za Wafanyakazi maarufu kama Mei Mosi. Kitaifa Sherehe hizi zimefanyikia Jijini Arusha Katika Maadhimisho haya Rais wa Nchi...
0 Reactions
8 Replies
151 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
nimesikitika kuona Yanga sc kufungiwa kusajili kwa sababu ya kutomlipa pesa aliyekua mchezaji wa Yanga sc LAZARO kAMBOLE , kwa maelezo niliyoyapata ni kuwa FIFA waliiandikia barua YANGA mapema tu...
1 Reactions
33 Replies
204 Views
Katika kuelekea World Press Freedom Day, ambayo huadhimishwa kila tarehe 3 Mei, waandishi waliandaa marathon ya kilomita 10. Mbio hizo zilifanyika Dodoma ambao wanatasnia wa habari wamekusanyika...
2 Reactions
5 Replies
99 Views
Wakuu,...unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana..halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,181
Posts
49,539,252
Members
667,338
Latest member
Zimbadynasty
Back
Top Bottom