Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Je, ni sawa kwa Mzanzibari kulalamika kero za muungano, lakini sio sawa kwa Mtanganyika kufanya hivyo? Kwanini Lissu anashambuliwa badala ya kujibiwa? Zanzibar kuna potential gani ya maisha as...
8 Reactions
25 Replies
312 Views
Wakuu, Mimi nakumbuka nilijaribu kupika wali. Nikaandaa kila kitu freshi, weka mchele wangu safiii 😂😂😂. Wakuu nilitoa bokoboko si la nchi hii, jina likabadilishwa fasta nikaanza kuitwa...
11 Reactions
104 Replies
4K Views
Yamenikuta najuta kuwa na kibanda, wiki iliyopita mvua ilinyesha usiku na kubomoa choo cha nyumba yangu cha mtindo wa pasipoti sasa hivi, asubuhi kulipokucha nikaenda kununua simenti na matofali...
6 Reactions
26 Replies
951 Views
1.KUPIMA UWEZO WA MWANAUME KUJIAMINI (confidence test) Mwanamke yeyote hupenda kupima uwezo wa kujiamini wa mwanaume wake. Njia wanazotumia kufanikisha hilo sasa hutegemea makuzi na malezi yake...
5 Reactions
14 Replies
379 Views
Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo. Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni...
15 Reactions
87 Replies
2K Views
kwanza nichukue fusa hii nikiwa mdau wa ball kupitia jukwaa hili la michezo la jamii forum kuzipongeza timu kutoka championship na kupanda ligi kuu. KENGOLD FC NA PAMBA FC, Hakika timu hizi...
10 Reactions
49 Replies
744 Views
1. Vyuo vikuu au taasisi za elimu ya juu ni sehemu nyeti kwa usalama wa taifa kama ilivyo kwa jeshi na sehemu zingine kama hizo. "Columbia University students say protest highlights ‘Bigger...
4 Reactions
32 Replies
839 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Hivi🤔 mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kweli🤷. Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani
1 Reactions
4 Replies
39 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,978
Posts
49,534,156
Members
667,300
Latest member
kitenge ahmad ally
Back
Top Bottom