Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

CHADEMA wamefanikiwa sana hapa Moshi kusimamisha mji mzima, ni matarumbeta, makelele, hamasa kila kona ya mji. Watu wamesimamisha shughuli zote na kuunga mkono juhudi za CHAMA. Asante sana wana...
1 Reactions
11 Replies
415 Views
Tundu Lisu akiwa Dodoma ametoa elimu kubwa sana ya Katiba ya Zanzibar dhidi ya Katiba ya Muungano. Wasomi wengi wamejikuta wakimsikiliza na kwa sasa YouTube majibu clip ya majibu yake ndiyo...
0 Reactions
1 Replies
5 Views
Mzee alipata kuwa Jaji Mkuu Makamu wa Rais Waziri Mkuu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Na badae Tena akaja kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba Hivi nauuliza huyu mzee ndio alikuwa...
1 Reactions
46 Replies
837 Views
Shukrani Kwa wadau wote kuni support kwenye hihi kazi kama mnavyoona.
2 Reactions
8 Replies
126 Views
  • Poll
INTRO Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
75 Reactions
4K Replies
253K Views
Lissu : Katika Nchi Hii hatukuwekewa Utaratibu wa Kutokubaguana, Ubaguzi Ulianza Baada ya Uhuru
0 Reactions
0 Replies
1 Views
imezoeleka wanawake wapi wazuri/wembamba/wanene/mkoa gani wa mabinti bomba sasa leo kwenu Wanaume wa ARUSHA na Dar wapi wakali/wa maana?
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Je, umewahi kubadili dini uliyopewa na wazazi au walezi wako wa mwanzo? Familia ndugu jamaa walikuchukulia vipi baada ya kufanya uamuzi huo?
1 Reactions
29 Replies
693 Views
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za...
10 Reactions
50 Replies
2K Views
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Unadhani nani...
4 Reactions
96 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,893
Posts
49,531,339
Members
667,268
Latest member
peter one
Back
Top Bottom