Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

TL are so bright, anafanya hayo yote si kwa kukosea hata kidogo ni kwa dhamira yake madhubuti, maana asipofanya hivyo permit zake zitakosa nguvu hasa juu ya posho ambazo huzipata, the ignorant...
0 Reactions
1 Replies
12 Views
Katika mjadala unaoendelea Clubhouse, mwananchi mmoja aliyetambulika kwa jina la Edna ameshaindwa kuuliza swali baada ya kushikwa na kilio kabla ya kuuliza swali lake kwa wazungumzaji Kwa sauti...
6 Reactions
87 Replies
5K Views
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
48 Reactions
304 Replies
7K Views
Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena...
9 Reactions
64 Replies
2K Views
Hivi wanakuwa wanamaanisha kitu gani?
9 Reactions
59 Replies
622 Views
JamiiForums imepata wasaa wa kuongea na Dr. Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia, Ndoa na Mahusiano, Malezi na Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam juu ya suala hili la Kataa Ndoa, mjadala...
6 Reactions
61 Replies
738 Views
Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari. Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo...
19 Reactions
146 Replies
3K Views
Wadau huu ukimya wa mchakato wa kuanza upatikanaji wa Katiba Mpya na tume huru ya uchaguzi ni ushahidi tosha kuwa hakuna kinachoendelea. Na haya matukio ya bandari n.K ni mbinu za ucheleweshaji...
4 Reactions
11 Replies
772 Views
Penzi ni kikohozi, tunaandika kama mzaha lakini madhara yake ni makubwa sana. Hii inawahusu zaidi wavulana kwa sababu wao ndio wenye maamuzi ya kuoa. Ewe kijana sikiliza kwa makini ukimpata...
28 Reactions
106 Replies
1K Views
Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER. Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka. Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi. ============= Tukirudi...
14 Reactions
67 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,861
Posts
49,530,131
Members
667,250
Latest member
sir dick
Back
Top Bottom