Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeona kabisa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi sasa kutupeperushia bendera ktk uchaguzi ujao awe Profesa Kitila Mkumbo , Huyu atatufaa sana na ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfano hili...
1 Reactions
24 Replies
288 Views
HAYA NDIO MAKABILA 125 YA TANZANIA ANDIKA NAMBA YA KABILA LAKO UWAJUE NDUGUZO 1. Waalagwa (pia wanaitwa Wasi) 2. Waakiek 3. Wameru 4. Waassa 5. Wabarabaig (pia wanaitwa Wamang’ati) 6. Wabembe 7...
3 Reactions
53 Replies
736 Views
1) Mfalme Nero 2) Mfalme Nebuchadnezzar 3) Alexander the Great 4) Adolf Hitler
3 Reactions
66 Replies
2K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema kuna mchezo haramu unafanyika kwenye utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nchini, na kama wahusika watabisha (watakanusha) tuhuma hizi basi...
7 Reactions
76 Replies
943 Views
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
86 Reactions
469 Replies
11K Views
Ni bora kuzuia ili Taifa lisonge mbele, hii mikutano na miandamano ni baadhi ya viongozi wa siasa kutumia mwamvuli huo kukwiba hela za chama bila ya wanaoibiwa kujua. Kinachoendelea na pia...
1 Reactions
7 Replies
67 Views
Hello great thinkers, mwaka 2021 nilikua nafanya mtihani wangu wa mwisho wa diploma ya pharmacy lakini sikuweza kumalizia mitihani yangu ya mwisho miwili iliyokua inafanyika kesho yake kwasababu...
0 Reactions
3 Replies
25 Views
Mimi nadhani ni heshima kubwa na Uzalendo kwa mtu kuitwa kwa Utaifa wake, Sioni haja ya kuficha Utaifa wa mtu kwa sababu zozote zile . Kwa nia njema kabisa naweka nyaraka za wazi za Uzanzibar wa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Hii ndio Taarifa iliyokuja leo kutokea Bungeni, kama ilivyotolewa na Mohamed Mchengerwa ambaye ni Waziri wa TAMISEMI. == Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25...
13 Reactions
93 Replies
2K Views
Nimepata taarifa isiyo rasmi kuwa vigezo vya kijiunga na diploma ya pharmacy vimebadilika kutoka D za kemia na biolojia hadi D 5 zikiwemo fizikia,hisabati na English. Nawapongeza kwa mabadiko hayo...
1 Reactions
6 Replies
86 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,848
Posts
49,529,964
Members
667,251
Latest member
sir dick
Back
Top Bottom