Ni swali ambalo nimejiuliza sana kwa wajuvi na wenye Elimu basi mnisaidie majibu tafadhali.
Tukisoma maandiko tunaona kuwa Adam aliumbwa kwa mavumbi ya nchi ila ilipokuja kesi ya kuumbwa mwanamke...
Nimeshangazwa kuona Yanga sc inaingia na mkataba na kampuni inayofahamika kinondoni ilala na temeke tu na bidhaa zake inauzia palepale Daresalaam tu tena kuna baadhi ya maeneo ya Daresalaam...
Wanajamii habari za majukumu:
Kesho jumatano ya tarehe 01-05-2024 pale Arusha katika viwanja vya sheikh Abeid Amani Karume kutafanyika Sherehe za wafanyakazi Wote wa Umma na binafsi. Sector zote...
1. Nachukia Mtu ambaye haendi na muda na anajifanyia tu Mambo yake Kienyeji Kienyeji.
2. Nachukia Mtu ambaye hajui Kujipanga Kiratiba na yupo yupo kama Zombie fulani hivi duniani
3. Nachukia Mtu...
Wana jukwaa wa MMU habarini?
Huwa sio siri kitaa nachokijua mimi kina watoto wakike fulani katika ukuaji wao mpaka sasa huwa baadhi yao ni ngumu kuja kuishi na wenza makini kwa maana ya wao...
Hello jukwaa la celebs
Siku za hivi karibuni recently...Mwanamama Socialite wa Kenya Tanasha Dona ambaye ni mwanamziki wa miondoko ya rapper, ambaye alikuwa na mahusiano na msaani maarufu nchini...
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha.
Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
Jana ACT Wazalendo imezindua nembo Mpya ya Chama katika kusherekea miaka 10. Lakini Mwenyekiti wake Othman Masoud Othman alimaarudu OMO hakuwepo ukumbini, Jussa ambae ni Makamu Mwenyekiti upande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.