Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ukweli ndio huo Watanganyika hua mnafuata nini zanzibar? Mbona sioni sababu ya msingi ya ninyi kwenda huko na sioni mnalofuata huko, Bakini kwenu mjenge kwenu wale wakija wakaribisheni, wala...
0 Reactions
12 Replies
69 Views
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar. Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni...
2 Reactions
30 Replies
487 Views
OCTOBER 7..... Raia wa Israel waliotekwa wakiingizwa Gaza, wapalestina wameachiwa wawapige kama sehemu ya kusherekea Mitaa ya Gaza waplestina wakifurahia jaribio lilioanza la kuisafisha israel...
1 Reactions
14 Replies
294 Views
Habari wakuu naombeni msaada, Gafla king'amzi changu cha Azam kimeanza kuonesha Channel za startimes, ni baada ya kuishiwa kifurushi, Cha ajabu leo kiliomba ni search new channel na baada ya hilo...
0 Reactions
29 Replies
272 Views
Je, umewahi kubadili dini uliyopewa na wazazi au walezi wako wa mwanzo? Familia ndugu jamaa walikuchukulia vipi baada ya kufanya uamuzi huo?
2 Reactions
37 Replies
854 Views
Hivi wanakuwa wanamaanisha kitu gani?
13 Reactions
85 Replies
1K Views
Habari wanajamvi.. Nimejaribu kutembelea miji, manispaa, na majiji mbalimbali kwakweli kuna utitiri mkubwa sana kwa sasa wa maduka yanayouza jezi mbalimbali za timu za mpira wa miguu. Kwa...
2 Reactions
25 Replies
407 Views
Tuliozoe Chadema wakiguswa Marekani anatoa kauli. lkn hivi sasa yanatokea Marekani wanafunzi wanondamana na kuchezea mkongoto sidhani Mareakni anaweza kusimama kukemea nchi nyengine raia wake...
0 Reactions
4 Replies
11 Views
Si unasema umepinda basi kuna mwana huko Ujerumani amenyongoroteka kabisaa Baada ya miaka 12 ya mahusiano na mpenzi wake ...mwishowe mwanamke akaomba waachane akaenda mahakamani akidai apewe...
4 Reactions
24 Replies
361 Views
1. Vyuo vikuu au taasisi za elimu ya juu ni sehemu nyeti kwa usalama wa taifa kama ilivyo kwa jeshi na sehemu zingine kama hizo. "Columbia University students say protest highlights ‘Bigger...
3 Reactions
20 Replies
630 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,932
Posts
49,532,597
Members
667,285
Latest member
gee dara 2024
Back
Top Bottom