* Police kutoa maelekezo juu ya maandamano kutumia upande mmoja wa barabara ni kawaida kwa kuwa CDM wameitisha maandamano ya AMANi
Sasa:-
Why atake shughuli zingine kusimama wkt waandamanaji...
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa.
Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar.
Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni...
Miaka ya 2019 - 2020 nikiwa shule (advance) niliwahi kuzama kimapenzi na mtoto wa watu (alikua amehamia shuleni pale kwa muda).
Alikua karibu sana na mimi na tulishea mengi sana (lifestyle and...
Poleni Kwa msiba huu wa Zuchi.
Kamanda akiwa katika majukumu ya kazi kapata ajali, kafariki kaacha watoto wawili, vipi kuhusu mirathi na stahiki nyingine za marehemu?
NB: Waajiri walazimishwe...
Naibu Waziri wa Afya akiwa bungeni amesema kuwa tayari Bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The Tobacco Products (Regulation) Act, 2003” ambayo imetoa katazo la...
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.
Unadhani nani...
Habari wanajamvi..
Nimejaribu kutembelea miji, manispaa, na majiji mbalimbali kwakweli kuna utitiri mkubwa sana kwa sasa wa maduka yanayouza jezi mbalimbali za timu za mpira wa miguu.
Kwa...
Tuliozoe Chadema wakiguswa Marekani anatoa kauli. lkn hivi sasa yanatokea Marekani wanafunzi wanondamana na kuchezea mkongoto sidhani Mareakni anaweza kusimama kukemea nchi nyengine raia wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.