Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

TL are so bright, anafanya hayo yote si kwa kukosea hata kidogo ni kwa dhamira yake madhubuti, maana asipofanya hivyo permit zake zitakosa nguvu hasa juu ya posho ambazo huzipata, the ignorant...
0 Reactions
7 Replies
49 Views
Sisi wote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea. Nani anayefuatia kushika kiti chake kwa mujibu wa itifaki ya ufalme wa Uiengereza. King Charles’ health ‘not good,’ funeral planning underway: Report
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Inashangaza sana. Yaani Lissu anatembea tu hivi hana ulinzi mkubwa kivile na kuna ambao hawapaswi kulindwa wanalindwa? Kuna miaka itakuja watoto na wajukuu wetu watatushangaa sana. Sijui...
3 Reactions
7 Replies
57 Views
Kwanza niombe moderators muiache hii thread ijitegemee, inaenda mbali zaidi ya kauli ya Lissu. Kama una akili timamu na za kutosha, utakuwa umegundua kwamba suala la kusema kero za muungano...
3 Reactions
14 Replies
239 Views
Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na kuepuka mifarakano inayoweza kukisambaratisha chama hicho. Nchimbi ametoa kauli...
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Asilimia 99% Video za Ngono zinazosambazwa basi aliyevujisha ni Mwanaume. Wanaume tumekuwa watu Wapumbavu na Wabinafsi kupita maelezo hivi unawezaje kumrecord mwanamke then unavujisha hili...
38 Reactions
237 Replies
19K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema kuna mchezo haramu unafanyika kwenye utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nchini, na kama wahusika watabisha (watakanusha) tuhuma hizi basi...
13 Reactions
105 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya mambo ambayo mtu aliyefunga akiyafanya, anaweza kujiona kuwa amefungua lakini bado hajafungua. Miongoni mwa mambo haya ni: (i) Kula au Kunywa kwa Kusahau Mtu akiwa amesahau kuwa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
48 Reactions
311 Replies
7K Views
Wakati Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) likitoa tamko la kufafanua mgogoro wa Dayosisi ya Konde mkoani Mbeya, baadhi ya maaskofu wastaafu wametoa waraka wa kupinga hatua...
0 Reactions
4 Replies
899 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,871
Posts
49,530,350
Members
667,272
Latest member
peter one
Back
Top Bottom