Mzee alipata kuwa
Jaji mkuu
Makamu wa rais
Waziri mkuu
Mwanasheria mkuu wa serekali
Na badae Tena akaja kuwa mwenyekit ya tume ya marekebisho ya katiba
Hivi nauuliza huyu mzee ndio alikuwa msomi...
Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena...
Wadau inashangaza na kusikitisha sana kuona Serikali Kwa maana ya Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama barabara kuonekana KUSHINDWA kabisa KUWADHIBITI hawa BODABODA wanaowabeba WATOTO wa CHEKECHEA...
Kama ilivyotangazwa awali , leo ndio hitimisho la awamu ya kwanza ya Wiki ya Maandamano, Ambapo Mwamba Kabisa Freeman Mbowe ataisimamisha Kilimanjaro pale atakapoongoza Maandamano Moshi Mjini...
Labda wameona wakopeshaji mtandaoni wamefanikiwa kwenye 'mkakati' wao wa kudai madeni. Binadamu huwa hatupendi kudhalilishwa hivyo na benki ya I & M wameamua kutumia mkakati huo huo kwa...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Ndugu zangu Watanzania,
Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
JamiiForums imepata wasaa wa kuongea na Dr. Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia, Ndoa na Mahusiano, Malezi na Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam juu ya suala hili la Kataa Ndoa, mjadala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.