Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako
Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza
Je umesev vipi jina la kipenzi chako...
Habari wadau!
Kuna jambo hili linalalamikiwa sana na Serikali ya Kenya kila kukicha serikali imeweka pamba masikioni. Kuna uwindaji wa Tembo wakutisha unafanyika Endulen (kwa wasiojua Endulen ni...
Nimekua nikifuatilia mijadala mingi sana ya viongozi wetu, na kugundua kwamba tofauti na watanganyika, wenzetu wazanzibari wote kwa pamoja
wako macho sana kuhusu maslahi yao ndani ya muungano...
Ndugu zangu Watanzania,
Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
Kijana uliemaliza kidato cha nne au cha sita.. kabla ya kufanya maamuzi ya kusoma Diploma in clinical medicine yajue haya.
Clinical medicine ni kozi ya diploma ya utabibu (udaktari) ukisoma hii...
Hapa Tanzania na nchi nyingi za kiafrika bunge na mahakama vipo kama mapambo tu na hutumika na wanasiasa wakitaka kufanya mambo yao. Inashangaza jinsi watanzania wengi wasivyojua haki zao na...
Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena...
Nilichimba shimo la choo kipindi cha kiangazi lilikua fresh tu na likafunikwa juu, tatizo imeanza kipindi cha masika maji yanatokea chini na shimo linajaa maji.
Wataalam tusaidiane hapo nitumie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.