Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu Watanzania, Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
-5 Reactions
170 Replies
2K Views
Najua Mijuha ( Fools ) watakuja hapa Kunishanga na Kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais ( ADC )...
0 Reactions
6 Replies
49 Views
Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kwa sasa timu yao ina hali mbaya hivyo anawaomba Watanzania waongeze maombi ili waweze kubaki Ligi Kuu Bara msimu ujao. Msikilize hapa...
0 Reactions
5 Replies
63 Views
Hichi kisa nimekikumbuka kilinitokea miaka mingi nyuma kama 7 ++ so sio currently event Nilikua na Demu wangu mmoja hivi sasa kila nikikutana nae naishia Goal Moja tuu yaani siendelei tena...
3 Reactions
8 Replies
129 Views
Jionee mwenyewe.
0 Reactions
3 Replies
69 Views
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
42 Reactions
248 Replies
6K Views
Wakuu msaada kwa wale wanaofahamu app nzuri kwa kupakua movies net. Maana hii huduma ya Wi-Fi nitaikosa kosa kutumia kwa ufasaha.
6 Reactions
53 Replies
3K Views
Hivi wanakuwa wanamaanisha kitu gani?
1 Reactions
0 Replies
1 Views
Msikilize Lissu hapa akitema cheche kuhusu uhuni uliofanyika kwa Tanganyika.
1 Reactions
2 Replies
27 Views
Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya...
11 Reactions
93 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,797
Posts
49,528,091
Members
667,233
Latest member
kagoma jr
Back
Top Bottom