Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Penzi ni kikohozi, tunaandika kama mzaha lakini madhara yake ni makubwa sana. Hii inawahusu zaidi wavulana kwa sababu wao ndio wenye maamuzi ya kuoa. Ewe kijana sikiliza kwa makini ukimpata...
2 Reactions
1 Replies
18 Views
Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza Je umesev vipi jina la kipenzi chako...
5 Reactions
242 Replies
2K Views
Vipi wenzangu mnapiganaje na gharama za mawasiliano ya simu? mwenzenu natumia si zaidi ya 400 kwa siku! kwa mwezi natumia 11,000 tu😅😅 Baada ya hapo naunga sms za buku siku 30
4 Reactions
13 Replies
99 Views
JamiiForums imepata wasaa wa kuongea na Dr. Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia, Ndoa na Mahusiano, Malezi na Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam juu ya suala hili la Kataa Ndoa, mjadala...
2 Reactions
7 Replies
73 Views
Tukatae watu wanaotaka kumdhoofisha mwenyekiti wetu (Wa Chama Cha Mapinduzi Taifa) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ameongeza kuwa kwa mara ya kwanza Tanzania...
1 Reactions
4 Replies
55 Views
Sawa inatokea umesababisha ajali umeua binadamu mwenzako umekimbia kukwepa kwenda jela na umebahatika hakuna aliyekuona. Huko nyumbani kwako utaishije? unaingia mtandaoni unaona maelfu ya watu...
0 Reactions
21 Replies
168 Views
1 Kwa 1 kwenye swali watalaam international space station ikizimika ghafla baada ya damage yoyote yaani paa ika shut down nini kitatokea je ni kweli Mawasiliano ya internet na simu duniani...
2 Reactions
5 Replies
82 Views
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken amesema ana matumaini kuwa Hamas itakubali pendekezo la hivi punde la Israel la kusitisha mapigano Gaza na kuwaachilia mateka. Aliita pendekezo...
0 Reactions
3 Replies
169 Views
1) Mfalme Nero 2) Mfalme Nebuchadnezzar 3) Alexander the Great 4) Adolf Hitler
2 Reactions
53 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,762
Posts
49,527,288
Members
667,236
Latest member
kagoma jr
Back
Top Bottom