Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Unajua me mtu wa vibe maisha na mziki muda wote sasa mimi Sina kipaji cha kucheza najua kwaito tu sasa wasouth kila siku wanaleta style mpya. Kuna hii ya amapiano ya tshwala bami una shake tu...
1 Reactions
3 Replies
96 Views
Mashiirika ya umma kama vile Kibaha Education Centre yanayomiliki shule, walimu wake hutumia ngazi za mishahara za PSTS tofauti na walimu chini ya Tamisemi wanaotumia ngazi za TGTS. Mwalimu...
0 Reactions
1 Replies
474 Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amewakabidhi magari mapya Wakuu wa Majeshi Wastaafu kwa maelekezo ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Wakuu wa...
11 Reactions
147 Replies
10K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
-1 Reactions
90 Replies
1K Views
Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya...
10 Reactions
75 Replies
958 Views
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
31 Reactions
131 Replies
3K Views
Wakuu Nina king'amuzi kipya cha AZAM Card nikiweka naona maandishi " Smart card mute" Nawapigia Azam wako busy. Nifanye nini?
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Baada ya corona kuisha kulikua na inflation kubwa dunian marekani kupitia federal reserver waliamua ku-implement contraction monetary policy kwa kuongeza interest rate ili kupunguza fedha kwenye...
1 Reactions
8 Replies
377 Views
Katika dunia ya sasa, tunaona shetani akitumia wasanii mbalimbali kuharibu kizazi hiki. Tumeona wasanii wa bongo fleva watu wote waliojiunga na freemasonry, wakija na project mbali mbali za...
6 Reactions
25 Replies
471 Views
Hili la walimu kufanya mtihani ndowapewe ajira naunga Kwa mikono miwili, niliwahi kupendekeza hili kwamba kwanini walimu hawafanyiwi written interview ambayo kimsingi ndomtihani wenyewe Ukienda...
9 Reactions
981 Replies
37K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,729
Posts
49,526,277
Members
667,225
Latest member
nassoromtangi
Back
Top Bottom