Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nakumbuka ilikuwa 2013, bana wee sitaka nisahau maishani mwangu. Nakumbuka nilipiga kazi kwenye biashara yangu, nikajikusanyia pesa nzuri tu sio chini ya million 2, ghetto nilipapendezesha vizuri...
46 Reactions
215 Replies
23K Views
Ni swali ambalo nimejiuliza sana kwa wajuvi na wenye Elimu basi mnisaidie majibu tafadhali. Tukisoma maandiko tunaona kuwa Adam aliumbwa kwa mavumbi ya nchi ila ilipokuja kesi ya kuumbwa mwanamke...
0 Reactions
42 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
-1 Reactions
91 Replies
1K Views
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
31 Reactions
132 Replies
3K Views
Huyu jamaa hapo mail Moja kwenye kibanda Cha tiketi mwendokasi anazingua.Ukimpa pesa cheji anasema hana na ni lazima abaki na 100,200 au 50 tshs.Watu wanalalamika sana.Mbona kule stand hakuna...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Unajua me mtu wa vibe maisha na mziki muda wote sasa mimi Sina kipaji cha kucheza najua kwaito tu sasa wasouth kila siku wanaleta style mpya. Kuna hii ya amapiano ya tshwala bami una shake tu...
1 Reactions
3 Replies
96 Views
Mashiirika ya umma kama vile Kibaha Education Centre yanayomiliki shule, walimu wake hutumia ngazi za mishahara za PSTS tofauti na walimu chini ya Tamisemi wanaotumia ngazi za TGTS. Mwalimu...
0 Reactions
1 Replies
474 Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amewakabidhi magari mapya Wakuu wa Majeshi Wastaafu kwa maelekezo ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Wakuu wa...
11 Reactions
147 Replies
10K Views
Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya...
10 Reactions
75 Replies
958 Views
Wakuu Nina king'amuzi kipya cha AZAM Card nikiweka naona maandishi " Smart card mute" Nawapigia Azam wako busy. Nifanye nini?
0 Reactions
12 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,729
Posts
49,526,277
Members
667,225
Latest member
nassoromtangi
Back
Top Bottom