Hili limzee bwana
Sote tunatambua kuwa urais wa CAF kuupata sio rahisi rahisi lazima uwe na pesa plus ushawishi mkubwa ..
Kwanza waarabu ndiyo wanakupitisha,
Yaani wakisema huyu hatumtaki basi...
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza...
Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako
Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza
Je umesev vipi jina la kipenzi chako...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Baada ya Mapumziko ya Jumapili, leo tena ile kazi ya Ukombozi wa Nchi inaendelea.
Tundu Lissu anaongoza Maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi.
Mkoa wa...
Katika watu wanaotumia muda vizuri kwenye uongozi ni Mh. Makonda.
Anahakikisha akiwa kwenye uwanja wa mchezo wa uongozi wake anajizolea point tatu mapema kabisa.
Wanaotoa point za mchezo...
Nini sababu na tiba ya kusahau hususani kwa kijana?
Wakati nasoma nilikuwa bingwa wa kumeza hadi wahuni wangu wakawa wanastaajabu naweza vipi yaani definition hata iwe ni kurasa nzima basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.