Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wewe ni Mkazi wa Dar es Salaam na unahitaji Simu Kali kwa Gharama Nafuu? Huitaji kuhangaika mambo yawe mengi tucheki moja kwa moja dukani. MZIGO NI MPYA & GENUINE Pia tunafanya huduma zote ya 🔝...
9 Reactions
71 Replies
1K Views
Samahanini sana Nina swali mimi watu kibao wanaonishauri mambo ya fedha wananikumbusha kujiwekea akiba kwa ajili ya dharura na wanajinasibu kabisa wao wanaweka akiba ipo imetulia sehemu. Huwa...
1 Reactions
5 Replies
32 Views
Habari! Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuamsha salama siku hii ya leo na kwa wale wote ambao wanapitia changamoto mbalimbali hasa za kiafya kwa pamoja...
2 Reactions
10 Replies
11 Views
Binafsi ushawah kumtabiria makubwa mchezaj halafu ghafla ukashangaa anapotea kwenye raman ya soka ama kwa kushuka kiwango, majeraha ,au kuhama timu moja kwenda nyingine? Kwa mtazamo wangu wafuatao...
0 Reactions
2 Replies
7 Views
Miaka ya 2019 - 2020 nikiwa shule (advance) niliwahi kuzama kimapenzi na mtoto wa watu (alikua amehamia shuleni pale kwa muda). Alikua karibu sana na mimi na tulishea mengi sana (lifestyle and...
1 Reactions
5 Replies
26 Views
Uzi wa maji upo na wa Chakula upo tuweke na wa hewa ipo Hivi Sio mtaani tu hata kwetu hapa JamiiForums wapo wavuta tumbaku. Wapo ambao ni chain smoker yaani akila tu akiamuka tu cha kwanza ni...
0 Reactions
1 Replies
5 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
#HABARI Mfanyabiashara wa madini Marwa Masese Festo (55) pamoja na mtoto wake John Marwa (30) wakazi wa Kunduchi Mtongani jijini Dar es Salaam, wameuawa baada ya kupigwa na vitu vizito kichwani na...
13 Reactions
133 Replies
16K Views
Zanzibar ina beach nzuri sana na vivutio vingine vya utalii, Samia hajavigusa ameuza vya Tanganyika. Unatetea ujinga kwa vile unafaidika na utawala wake na kusahau kuwa watoto wako na uzao wako...
8 Reactions
31 Replies
868 Views
Habarini wana JF, Nini kifanyike ili kuongeza mwili (unene) ili niwe na muonekano mzuri wa kiafya unaovutia? Nahitaji kunenepa.
10 Reactions
120 Replies
9K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,667
Posts
49,525,337
Members
667,193
Latest member
Enodius
Back
Top Bottom