Habari!
Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuamsha salama siku hii ya leo na kwa wale wote ambao wanapitia changamoto mbalimbali hasa za kiafya kwa pamoja...
Binafsi ushawah kumtabiria makubwa mchezaj halafu ghafla ukashangaa anapotea kwenye raman ya soka ama kwa kushuka kiwango, majeraha ,au kuhama timu moja kwenda nyingine?
Kwa mtazamo wangu wafuatao...
Mtangazaji Nguli, Mwanahabari na Mwandishi wa habari mashuhuri Afrika Mashariki na Kati, Salim Kikeke amejiunga na Redio/TV ya Crown FM/TV inayomilikiwa na Alikiba.
Hii ni baada ya Alikiba...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana wa kiume niliyezaliwa katika familiya ya watoto watano, nimeajiriwa serikalini nina kaka yangu yeye hakusoma yuko yumbani anaishi na wazazi, huyu kaka yangu ni...
Uzi wa maji upo na wa Chakula upo tuweke na wa hewa ipo Hivi Sio mtaani tu hata kwetu hapa JamiiForums wapo wavuta tumbaku. Wapo ambao ni chain smoker yaani akila tu akiamuka tu cha kwanza ni...
#HABARI Mfanyabiashara wa madini Marwa Masese Festo (55) pamoja na mtoto wake John Marwa (30) wakazi wa Kunduchi Mtongani jijini Dar es Salaam, wameuawa baada ya kupigwa na vitu vizito kichwani na...
Ndugu zangu Watanzania,
Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.