Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jenerali Ulimwengu amefanya tafakuri kuhusu nishati ya mafuta na gesi katika kufanikisha usafiri nchini. Kwa tathmini yake amebaini wamiliki wa vituo vya mafuta wapo mstari wa mbele kukwamisha...
5 Reactions
30 Replies
880 Views
Hili limzee bwana Sote tunatambua kuwa urais wa CAF kuupata sio rahisi rahisi lazima uwe na pesa plus ushawishi mkubwa .. Kwanza waarabu ndiyo wanakupitisha, Yaani wakisema huyu hatumtaki basi...
1 Reactions
27 Replies
376 Views
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza...
17 Reactions
241 Replies
3K Views
Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza Je umesev vipi jina la kipenzi chako...
2 Reactions
77 Replies
403 Views
KUINGIA KWA PASSPORT ZANZIBAR NI MTEGO. Mkikubali huu MTEGO utadumbukizwa Kwenye mengine wanayoyadai kirahisi Hakuna Namna mtachomoka
1 Reactions
14 Replies
33 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
162K Replies
4M Views
Nimekuwa nikitaka kulipuuza hili lakini huyu bwana kuna kila dalili anaweza kuingia ikulu
1 Reactions
1 Replies
30 Views
Baada ya Mapumziko ya Jumapili, leo tena ile kazi ya Ukombozi wa Nchi inaendelea. Tundu Lissu anaongoza Maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi. Mkoa wa...
8 Reactions
77 Replies
2K Views
Katika watu wanaotumia muda vizuri kwenye uongozi ni Mh. Makonda. Anahakikisha akiwa kwenye uwanja wa mchezo wa uongozi wake anajizolea point tatu mapema kabisa. Wanaotoa point za mchezo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nini sababu na tiba ya kusahau hususani kwa kijana? Wakati nasoma nilikuwa bingwa wa kumeza hadi wahuni wangu wakawa wanastaajabu naweza vipi yaani definition hata iwe ni kurasa nzima basi...
1 Reactions
13 Replies
118 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,647
Posts
49,524,592
Members
667,181
Latest member
Enodius
Back
Top Bottom