Makocha wa kigeni wakitimuliwa, anapewa timu kuiongoza huku viongozi wakiwa busy kutafuta mzungu kuja kuwa boss wake.
Yaani Mgunda anatumika mara 1 kama toilet paper au ndomu.
Hili ni tatizo.
Nina router ya airtel hapa pocket router mpaka leo hii hakuna mafundi walioweza kui unlock
Yani ni kui unlock kila muda ikiwaka, mbaya zaidi router hizi huwa zinajizima kila baada ya saa hivyo...
Hili limzee bwana
Sote tunatambua kuwa urais wa CAF kuupata sio rahisi rahisi lazima uwe na pesa plus ushawishi mkubwa ..
Kwanza waarabu ndiyo wanakupitisha,
Yaani wakisema huyu hatumtaki basi...
Wakuu kama thread inavojieleza either kulingana na uzoefu wako au umeskia ndugu jamaa wanasema tupate, mkombozi wa mapishi kwa umeme.
Induction cooker
Multi Cooker
Msichojua ndo hicho sasa
Unamuona mwanaume unamtani na kuvutiwa nae ila sasa ndo inabidi ungalie mambo mengine sasa yanayofanya jambo ilo lishindikane
Nimekutana na mkaka maeneo ya ninayofanyia...
So when I grew up, especially in school life, I had zero confidence with women. Partly due to my moral upbringing (I guess) but also I lacked experience. We were mostly supposed to stay at home...
Wakuu mimi ni mume ambaye tumezaa mtoto mmoja na mke wangu ndoa yetu ina miaka zaidi ya mi4 mpaka sasa.
Ukweni kwangu yaani familia ya wife imekuwa ikinisaidia saana ila tatizo wife sasa huwa...
Mida hii kama hutaki kuangalia Ikulu Mawasiliano lakini unataka kuangalia TV za Tanzania basi hamna jinsi inabidi ukalale tu.
Ikulu mawasiliano TV zote za ndani kurusha mafanikio ya mama. Yaani...
Ndugu zangu Watanzania,
Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.