Hiki kipasso kinaenda km 12 kwa lita ya wese. Kutoka home hadi job ni km 12 yani km 24 kama ni kwenda na kurudi.
kwaiyo nahitaji kama lita mbili hivi kila siku au shilingi 6,514 (3,257×2) kwa...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Hiii!
Kuna siku nilipanda bajaji from town kwenda home. Kutoka kituo nilichopandia abiria tulipanda ile Bajaj tulikuwa watu mimi na mama mmoja akiwa na mtoto wake mdogo range kama 2-3 years.
Kwa...
Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako
Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza
Je umesev vipi jina la kipenzi chako...
Ipo ivi mm ni mama ninamiaka 29 sasa ..naombeni busara zenu kuishi vipi na uyu mwanaume ..tumezaa watoto wawil apa kati tuliachana lakini nyumbani awakuelewa na hawataki kusikia ilibdi niludi...
Rumor has it mzee wa hulisi kamtwanga dada wa bango la valentine talaka moja na mke wa pili juu......
Tatizo sio kuachika, tatizo ni kujishaua sana my husband this my husband that, vikiumana...
Salaam, Shalom!
Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
Kuna jamii ndogo ya Watusi mkoa wa mbeya ambayo wamekua ni wenyeji kwa muda. Kwasababu ni jamii ya watu wachache si rahisi kunotice.
Binafsi nimekutana na familia kama kumi hivi wengine wanajiita...
Kuna wanawake wana papuchi za moto. Mpaka zinaunguza vifungashio. Angalia mwenyewe. Ama utasema ni nini? Tindikali? Ndo linatokea huko. Unaona chupi ilivyoungua? Sasa wewe kwa ubwege wako unapiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.