Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu Watanzania, Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili ya wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
0 Reactions
3 Replies
19 Views
Habari wanaJF, Niende kwenye point, nimekuwa na tatizo la kuahirisha vitu nivipangavyo. Siyo kwamba siwezi ila ukifika muda tu najikuta tu labda nafanya kitu then nasema nikimaliza nitafanya...
6 Reactions
41 Replies
444 Views
Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto! Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama . Christina...
9 Reactions
43 Replies
1K Views
Mnaosemaga US na EU ndo baba wa haki za binadamu mko wapi? Mnaoamini demokrasia feki za madola ya magharibi mko wapi? --- The US threatens the International Criminal Court in The Hague: "If...
1 Reactions
16 Replies
374 Views
Je supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya mbagala inausalama kiafya Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Supu ya ngozi imayochanganywa na mapupu & bandana ambayo hupelekea...
6 Reactions
57 Replies
681 Views
kwanza nichukue fusa hii nikiwa mdau wa ball kupitia jukwaa hili la michezo la jamii forum kuzipongeza timu kutoka championship na kupanda ligi kuu. KENGOLD FC NA PAMBA FC, Hakika timu hizi...
4 Reactions
26 Replies
411 Views
TERATOMA ni aina mojawapo ya ugonjwa ambapo nywele, meno na aina nyengine za rushing kuota Mahali pasipo kawaida Kwa mfano mwanamke mwenye ugonjwa huu anaweza akatokea kwa kitu mfano meno...
1 Reactions
2 Replies
47 Views
Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama...
22 Reactions
195 Replies
8K Views
tangu mwanzo wa uchumba hadi ndoa yako, mambo yalikua ya amani na furaha sana baina yenu na mahitaji yote muhimu yalitimizwa. kwasababu ya upendo wa dhati, itii na uamninifu wa kweli ulokua nao...
2 Reactions
9 Replies
95 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,576
Posts
49,523,340
Members
667,164
Latest member
REBAMS
Back
Top Bottom