Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Je supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya mbagala inausalama kiafya Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Supu ya ngozi imayochanganywa na mapupu & bandana ambayo hupelekea...
6 Reactions
53 Replies
467 Views
Kuelekea siku ya wafanyakazi nchini Mei mosi, vijana ambao wanahitimu elimu ya vyuo vikuu tunaomba Serikali yetu chini ya Rais wetu mpendwa Mama Samia na timu yake yote tunamuomba jambo moja nalo...
11 Reactions
68 Replies
861 Views
Napenda kuisihi Wizara ya Habari kusimamia suala la la wakalimani wa lugha ya alama iwe suala la lazima katika vituo vya Televisheni ili kuwapa haki ya kutopitwa na taarifa ndugu zetu wenye...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Unakuta mdada ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya kumi na wote anawahudumia na anawapiga vizinga na wanamuamini hivi mnawezaje? Unakuta msela anajiaminisha kabisa kuwa fulan ni manzi...
7 Reactions
67 Replies
1K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
162K Replies
4M Views
Shanghai, China 06/06/2023 Kampuni kubwa ya utengenezaji meli inayoitwa China State Shipbuilding Corporation (CSSC) yenye makao yake Shanghai walizindua meli ya kwanza ya kitalii (Cruise ship)...
34 Reactions
182 Replies
10K Views
TERATOMA ni aina mojawapo ya ugonjwa ambapo nywele, meno na aina nyengine za rushing kuota Mahali pasipo kawaida Kwa mfano mwanamke mwenye ugonjwa huu anaweza akatokea kwa kitu mfano meno...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakuu kama thread inavojieleza either kulingana na uzoefu wako au umeskia ndugu jamaa wanasema tupate, mkombozi wa mapishi kwa umeme. Induction cooker Multi Cooker
3 Reactions
40 Replies
1K Views
Natumaini uzuri na kupendeza Kwa chemba ni umahiri wa mafundi walio Bora na kubobea upo teyari kupata huduma na plumbing bc karibu San
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Labda hii watu hawajui. Leo si tunazungumzia dini zetu, let's go. Kuna tofauti ya watu walioandikwa kwenye Biblia na Koran, hilo kwanza ulijue. Ibrahim unayemsoma kwenye Biblia si Ibrahim...
25 Reactions
337 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,571
Posts
49,523,244
Members
667,164
Latest member
REBAMS
Back
Top Bottom