Habari zenu wanaJF wenzangu,
Nchini Tanzania, na Afrika kwa ujumla kumekuwa na dhana potofu ya kufikiri kwamba kila mtu mkubwa (kimamlaka) anapokuwa amekufa, basi anakuwa ameuwawa aidha na baadhi...
Eurotunnel, ambayo pia inajulikana kama Channel Tunnel, ni mfereji wa reli chini ya Bahari ya Kiingereza ambao unaunganisha Uingereza na Ufaransa. Hii ni miundo mikubwa ya uhandisi iliyopo...
Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER..
Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka.
Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi...
Katika MAISHA ya siasa unabidi kuelewa ubora wako unategemea na ubora wa mpinzani wako.
Unapomgeuza mpinzani kuwa adui unabidi kujua unaenda kujiua na kujiangamiza.
Adui -ni yule anayepambana...
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
Shalom,
Kama mdau wenu mimi Wadiz naandika yafuatayo katika Hali ambayo naamini ndiyo ipasayo katika hoja mbalimbali zenye mashiko na kulinda uhalali wa baadhi ya wenye kukataa kuoa.
Na katika...
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.
Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.