Na mbaya zaidi vyuo vyetu vya hapa Tz ni theory hakuna vitendo, imagine hata mwalimu wa ujasiriamali anategemea mshahara, ni mwendo wa kumeza ma definition na kupimwa uwezo kwenye karatasi ili...
Ukipata kuangalia makala ya Dark web inaeleza mengi jinsi walifu wanavotumia tovuti kama kuuza madawa,nyaraka kama passport,visa,silaha,human trafic,hitman(wauwaji wa kodi) na n.k
Sasa jambo...
Wakuu..!!
Kama mnavyojua sasa Serikali ipo kiganjani kwa kuthibitisha hilo, kwa upande wa utumishi wa Umma
mambo yote ya kiutumishi yanafanyika kupitia mtandao(ESS).
Hivyo basi nimejaribu...
Nahitaji simu ya kawaida kabisa bajeti yangu laki na 30.
Kikubwa iwe ina uwezo wa kutoa audio inayo sikika vizuri. Iwe Type C ambayo inaweza kutumia vile vi microphone vya sh elfu 25.
Nakumbuka...
Leo Kuna mtu kanipigia simu nikakumbuka tukio Moja miaka kama 10 imepita
Kipindi hicho ujana mwingi+ tulikua wajanja wajanja tumeshika shika vipesa si haba, npo dsm Kuna jamaa yangu ye hata tungi...
Nipo Dar es Salaam, na kuna mvua + Mafuriko ila nafuatilia yanayoendelea uko China kwenye Beijing Auto Show ya mwaka 2024, ilioanza tar 25 April hadi 4 May.
Hii Beijing Auto Show kwa jina jingine...
Habari Wanajukwaa,
Ikiwa labda kwako haikuwezekana lakini ukiwa kama experienced person naamini kuna mengi umejifunza na kuna sehemu ushajua kwamba ulikosea, kwa mbinu zip na mikakat ipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.