Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii vita ni kali sana na ilianza tangu wakati wa Nyerere alipotaifisha majumba ya watu wa asili ya watu fulani..Ikaendelea wakati wa Mkapa alipochoma ngano za mfanyabiashara fualani bila vigezo...
10 Reactions
47 Replies
775 Views
Wadau nimekuwa nazifuatia Mali za CCM.Wakati wa Mfumo wa Chama kimoja cha SIASA ilikuwa WANANCHI wote bila kujali ni mwanachama wa CCM au Huna chama ni LAZIMA uchangie Maendeleo.Wakati wa Ujenzi...
1 Reactions
10 Replies
11 Views
Ni hii michezo ya watoto wadogo Si vibaya ukataja academy, location na michezo yao mfano kuogelea, tennis, football, ndondi, sarakasi, muziki, kuimba, mbio, miruko n.k.
0 Reactions
14 Replies
188 Views
Madereva wa Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara hii ya usafiri na endapo kampuni hizi hazitachukua hatua basi zitakufa hivi karibuni -Madereva hawa huwa wanachelewa sana kumfwata mteja...
9 Reactions
27 Replies
292 Views
Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde. Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na...
1 Reactions
9 Replies
30 Views
Hello mambers, Naomba sana msaada wenu, niliomba kazi kwenye shirika moja la wa Norway, juzi nikatumiwa email kuwa nimekuwa shortlisted hivyo nitafanya interview via zoom. Naomba kuuliza maana...
1 Reactions
9 Replies
137 Views
Dar ni sehemu yenye raha nyingi kama kulivyo na karaha nyingi pia. Japo kwangu nikipima naona karaha ndio zimezidi. Ni kawaida sana kukuta misururu ya foleni ya watu wakigombea usafiri tena...
9 Reactions
45 Replies
947 Views
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo...
39 Reactions
388 Replies
17K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
511K Replies
29M Views

FORUM STATS

Threads
1,848,964
Posts
49,502,052
Members
666,899
Latest member
Unyade wade
Back
Top Bottom