Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
Habari wakuu
Hivi mbona msanii chid benz haponi kile kidonda chake cha mguuni maana tangu ameanza kuumwa kile kidonda sasa yawezafika mwezi wa nne au watano, nini tatizo?
Maana Jana kapanda...
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo...
Kutokana na mvua zinanyesha barabara ya kigoma-kibondo-busungu imemong'onyoka na inekuwa usumbufu na hatarishi kwa watumiaji wa barabara hiyo.
Mamlaka irekebishe barabara hii ili huduma iendelee...
Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo,
Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu...
Mfano ni stand ya Mangaka iliyopo nanyumbu ni kali kuliko stand za songea, Mtwara, Lindi.. Serikali inakuwa inaonaje kuipa wilaya kipaumbele ilihali watu wengi wako mkoani na mzunguko uko mkoani.
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema miaka 60 ya Muungano Wenye KERO lukuki Inatosha
Lisu anasema SASA ni Wakati SAHIHI kwa Zanzibar kuwa na Mamlaka yake kamili Ndani ya...
Leo nimeona video ambao imewekewa sauti ya mtu akisema wametumiwa video hiyo kwenye group la shule ya Themihill, video hiyo inaonesha mtu akifungua kitu kinachoonekana kama pen (kalamu) ambacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.