Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yan hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi...
Tafadhali Tanfom Arusha ondoeni udongo eneo la barabarani uliotokana na ujenzi wa ukuta katika eneo lenu la moshono Losirwat.
Kwa kweli mnatutesa hasa Watembea kwa miguu kwani mvua hizi...
Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER..
Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka.
Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi...
Mwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha Elimu ya Mtangazaji Nguli Maulid Mbaraka Kitenge atujuze.
NB: Hapa usitaje elimu ya dini, nazungumzia elimu hii ya dunia.
So when I grew up, especially in school life, I had zero confidence with women. Partly due to my moral upbringing( i guess ) but also I lacked experience. We were mostly supposed to stay at home...
Mwenye masters asie na watu wa karibu (hasa ndugu) wa kumpa uzoefu na connections
chuoni kapewa assignments, test, presentation kibao lakini anamaliza chuo hana hata Tin Namba
Hajui kutumia...
Kumekuwa na picha zinazoenea kwenye mitandao zikimuonyesha rais samia akiwa katika ibada kanisani,sina uhakika ikiwa ni ibada ya pasaka au otherwise lakini kinachoonekana ni kwamba amekwenda na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.