Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu..!! Kama mnavyojua sasa Serikali ipo kiganjani kwa kuthibitisha hilo, kwa upande wa utumishi wa Umma mambo yote ya kiutumishi yanafanyika kupitia mtandao(ESS). Hivyo basi nimejaribu...
0 Reactions
6 Replies
195 Views
Muda huu mnadai mechi ya RS BERKANE na USMA iko dakika ya 35 na bado iko 0-0 wakati haijachezwa na timu zimeondoka uwanjani.Hivi mko makini kweli!
0 Reactions
4 Replies
95 Views
Nahitaji simu ya kawaida kabisa bajeti yangu laki na 30. Kikubwa iwe ina uwezo wa kutoa audio inayo sikika vizuri. Iwe Type C ambayo inaweza kutumia vile vi microphone vya sh elfu 25. Nakumbuka...
0 Reactions
9 Replies
39 Views
Je umewahi kubadili dini uliyopewa na wazazi au walezi wako wa mwanzo? Familia ndugu jamaa walikuchukulia vipi baada ya kufanya uamuzi huo?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Leo Kuna mtu kanipigia simu nikakumbuka tukio Moja miaka kama 10 imepita Kipindi hicho ujana mwingi+ tulikua wajanja wajanja tumeshika shika vipesa si haba, npo dsm Kuna jamaa yangu ye hata tungi...
5 Reactions
21 Replies
313 Views
Nipo Dar es Salaam, na kuna mvua + Mafuriko ila nafuatilia yanayoendelea uko China kwenye Beijing Auto Show ya mwaka 2024, ilioanza tar 25 April hadi 4 May. Hii Beijing Auto Show kwa jina jingine...
26 Reactions
164 Replies
2K Views
Habari Wanajukwaa, Ikiwa labda kwako haikuwezekana lakini ukiwa kama experienced person naamini kuna mengi umejifunza na kuna sehemu ushajua kwamba ulikosea, kwa mbinu zip na mikakat ipi...
27 Reactions
353 Replies
18K Views
Wana Lamadi na wana Bunda karibuni. Nahitaji Basi ambazo hazipiti njia ya Mwanza bali njia ya Bariadi na Maswa. Nauli bei gani?
1 Reactions
15 Replies
278 Views
##Kwanini waimbaji walio wengi wa taarabu ni wa jinsia ya kike? ##Kwanini nyimbo nyingi zinahusu mambo ya mahusiano/mapenzi? si ajabu kukuta kati ya nyimbo 10 zinazoimbwa zote ni za mahusiano...
1 Reactions
16 Replies
172 Views
Kumekuwa na mjadala mkubwa kama yule ni mimi au sio Mimi. Nimekuja mbele Yenu wa JF ili nijibu hoja na maswali yenu. Ila yule sio mimi. Karibuni kwa maswali.
22 Reactions
86 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,342
Posts
49,516,749
Members
667,075
Latest member
Tabakha
Back
Top Bottom