Habari wana jf
Niende kwenye point nimekuwa na tatizo la kuahirisha vitu nivipangavyo... sio kwamba siwezi ila ukifika muda tu najikuta tu labda nafanya kitu then nasema nikimaliza nitafanya...
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza...
Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na kuepuka mifarakano inayoweza kukisambaratisha chama hicho. Nchimbi ametoa kauli...
Miaka ya hivi karibu jamii ya Wakinga ni kama imeamua kuwa serious kupambana na umaskini.
Those guys are true hustlers wenye umoja wa ndugu jamaa na marafiki.
Unfortunately maneno yamenza mara...
Baada ya malalamiko mengi ya wahitimu wa kozi ya udereva wa PSV, tangu mwezi 1 veta walikuj na hii taarifa Katie picha chakushangaza , watu wamefik makao makuu veta Chang'ombe taarifa walizotoa...
SERVICE MANAGER – CENTRAL AFRICA
At Sandvik Rock Processing Solutions (“SRP”), we’re passionate about development and advanced technology, and we always aim to offer the best possible experience...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
heyyyy
sawa wanasimba tumekubali benchika kwenda kumuuguza mkewe,
swali lilipo je wasaidizi wake pia wameenda kumuuguza shemeji yake??
tunachanganyikiwa shagala bagala
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.