Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mwenye masters asie na watu wa karibu (hasa ndugu) wa kumpa uzoefu na connections chuoni kapewa assignments, test, presentation kibao lakini anamaliza chuo hana hata Tin Namba Hajui kutumia...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Habar wadau? Napenda kufuga nguruwe ila sina uzoez wowte ndo nataka niingie ktk game! Mwenye experience anisaidia , mbegu bora banda bora
2 Reactions
11 Replies
561 Views
Tumeona ni vema kuweka matukio machache ya Mkutano huu uliofanyika Jana Mjini Singida , ambao ulihutubiwa na Tundu Lissu baada ya Maandamano Makubwa ya kupinga Ugumu wa Maisha na sheria mbovu za...
12 Reactions
44 Replies
2K Views
Kwa misimu kadhaa sasa timu ya simba imekuwa na utaratibu wa kufukuza makocha tena ndani ya muda mfupi Sana. Jambo ambalo linazuwa maswali tatanishi mengi. 1.Je wanaohusika kufukuza na kuajiri...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hivi vile vitambulisho vya wauza madafu (wajasiriamali) viliishiaga wapi? eti TSH 20,000/=?
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
0 Reactions
1 Replies
21 Views
Salute iende kwenye mada, kiukweli hapa mjini Dar es salam kuna watu nadhani wanaishi maisha mazuri ni kama wako Dubai au New York .Binafsi nimekuwa chawa promax wakumfatilia huyu kijana anaejiita...
11 Reactions
129 Replies
20K Views
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model. NB: Tengeneza future ya wategemezi...
23 Reactions
165 Replies
6K Views
pisi kali
0 Reactions
1 Replies
23 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,374
Posts
49,517,271
Members
667,093
Latest member
Kevin bravo
Back
Top Bottom