Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Anajijua yeye ni mchepuko jana kanifumania na mwanamke mwengine akaniletea vurugu! Akaniita mimi mwanaume malaya haikutosha akaniita mimi "kenge maji!" kitu hichi kiliniuma sana nikamvuta...
14 Reactions
44 Replies
926 Views
Kipindi hicho mkuu wa chuo alikuwa Gideon Sayore, Kikwete alikuwa ni mmoja wakufunzi wa siasa chuoni hapo. Sasa ilikuwa hivi: Mzee Sayore alikuwa anafuga ng'ombe wengi pamoja kufanya shughuli za...
119 Reactions
466 Replies
156K Views
Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER.. Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka. Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi...
2 Reactions
12 Replies
793 Views
Je, umewahi kubadili dini uliyopewa na wazazi au walezi wako wa mwanzo? Familia ndugu jamaa walikuchukulia vipi baada ya kufanya uamuzi huo?
1 Reactions
7 Replies
120 Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja Nafanya kazi Kampuni ya mawasiliano na yeye anasoma masters...
38 Reactions
257 Replies
8K Views
Kuna mjadala mkali umeibuka South Africa kuhusu honorary doctorate degrees zinazogawanywa kama njugu hata na vyuo ambavyo havina accreditation yoyote. Ninachofahamu kwa uzoefu wangu wa system ya...
0 Reactions
0 Replies
3 Views
Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yan hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi...
0 Reactions
11 Replies
124 Views
Tafadhali Tanfom Arusha ondoeni udongo eneo la barabarani uliotokana na ujenzi wa ukuta katika eneo lenu la moshono Losirwat. Kwa kweli mnatutesa hasa Watembea kwa miguu kwani mvua hizi...
0 Reactions
3 Replies
223 Views
Nomba kujua ukihitimu utafanya kazi kwenye sekta ipi na ipi na majukumu hasa ni yapi?
0 Reactions
1 Replies
23 Views
Mwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha Elimu ya Mtangazaji Nguli Maulid Mbaraka Kitenge atujuze. NB: Hapa usitaje elimu ya dini, nazungumzia elimu hii ya dunia.
25 Reactions
273 Replies
22K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,376
Posts
49,517,325
Members
667,093
Latest member
Kevin bravo
Back
Top Bottom