Shalom,
Kama mdau wenu mimi Wadiz naandika yafuatayo katika Hali ambayo naamini ndiyo ipasayo katika hoja mbalimbali zenye mashiko na kulinda uhalali wa baadhi ya wenye kukataa kuoa.
Na katika...
Hiki kipasso kinaenda km 12 kwa lita ya wese. Kutoka home hadi job ni km 12 yani km 24 kama ni kwenda na kurudi.
kwaiyo nahitaji kama lita mbili hivi kila siku au shilingi 6,514 (3,257×2) kwa...
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
Wiki hii tumejionea baadhi ya wanavyuo wakijaribu kukusanyika kuwaatetea Hamas (ni wanafunzi hao hao wengi walikuwa na furaha siku ya October 7 Hamas walipoivamia Israel).
Maafisa wa polisi...
Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hivi ni haki kulala na wazazi mama yake anangangana kuwa ni kawaida.
Ana chumba chake kizuri na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama.
Mnaonaje wakuu...
Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yaani hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi...
Siku zote, wenzetu wanakula, na wakila, wanakula vyakula ambavyo vinajenga miili yao. Zamani chakula kama hiki hakikuwepo Tanzania, lakini siku hizi vipo vingi tu.
Tembelea supamaketi ukakutane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.