Hiki kipasso kinaenda km 12 kwa lita ya wese. Kutoka home hadi job ni km 12 yani km 24 kama ni kwenda na kurudi.
kwaiyo nahitaji kama lita mbili hivi kila siku au shilingi 6,514 (3,257×2) kwa...
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.
Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa.
Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
Wachina, wakongo, wake ya, wanigeria na wazambia wamekuwa wengi sana soko la Kariakoo.
Wachina wanapoingia kwenye umachinga maana yake uchuuzi umekuwa kipaombele cha soko Tanzania . Lakini...
Khabarini wana jukwaa,
Nimekuwa na mahusiano na mke wa mtu takribani miaka minne sasa na hatimaye mwaka huu niliamua kuachana nae kama nilivyoelezea katika uzi wangu wa Msaada: Mke wa mtu anataka...
Kumekuwa na picha zinazoenea kwenye mitandao zikimuonyesha rais samia akiwa katika ibada kanisani,sina uhakika ikiwa ni ibada ya pasaka au otherwise lakini kinachoonekana ni kwamba amekwenda na...
Breaking: Benchika ameachana rasmi na Simba SC baada ya makubaliano ya pande zote mbili.
Pia soma:
Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu
Klabu ya...
heyyyy
sawa wanasimba tumekubali benchika kwenda kumuuguza mkewe,
swali lilipo je wasaidizi wake pia wameenda kumuuguza shemeji yake??
tunachanganyikiwa shagala bagala
Miaka ya hivi karibu jamii ya Wakinga ni kama imeamua kuwa serious kupambana na umaskini.
Those guys are true hustlers wenye umoja wa ndugu jamaa na marafiki.
Unfortunately maneno yamenza mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.