Naibu waziri mkuu ambaye pia ni waziri wa nishati Mh Doto Biteko amesema wakati anaingia kwenye wizara hiyo alikuta kila mara mafuta kuadimika na kusababisha usumbufu na foleni kubwa kwenye vituo...
Zitto Kabwe amesema aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wakati anaingia kwenye siasa, Jakaya Kikwete alimuita na kumwambia ana machaguo mawili kwa kuwa alikuwa anachipukia kwenye siasa, kwanza...
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye.
Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
Kama wiki mbili hivi sikuwa online kwenye social media hivyo nilipata wasaa wa kusikiliza redio zetu hapa nchini.
Katika wiki zote hizo mbili nilikua natune almost radio zote , ila vipindi vingi...
Leo kwenye harakati zangu za maisha nilipita maeneo ya KILUVYA, Kwa nilivyokua nadhani KILUVYA ipo wilaya ya ubungo, baada ya kubishana na jamaa yangu kua KILUVYA sio dar nikaenda kwenye ramani...
1. Hakuna Msaniii yoyote mkubwa wa Congo DR kuanzia kwa JB Mpiana, Koffi Olomide, Werrason, Felix Wazekwa, Roga Roga na Bendi yake ya Extra Musica, Fally Ipupa na Ferre Gola utamuita aje nchini...
Nipo na miadi ya jimama mmoja kutoka Mkoa X anasafiri kuja hapa, na amepanga aje kuishi kwa siku kadhaa.
Jaribu kumdhibiti uone kama utafanikiwa.
Nitawapa mrejesho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.