Salama Wakuu?
Watu walitabiri na kutabiri mara Kikeke anaenda TBC, mara anaenda Wasafi, mara atalamba teuzi za Rais Samia akaungane na Zuhura, sasa kutabiri kumeisha, Kikeke huyooo kwa CROWN...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Khabarini wana jukwaa,
Nimekuwa na mahusiano na mke wa mtu takribani miaka minne sasa na hatimaye mwaka huu niliamua kuachana nae kama nilivyoelezea katika uzi wangu wa Msaada: Mke wa mtu anataka...
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza...
Habari za wakati huu
Kwa mujibu wa mwenendo wa maisha ya leo, ambapo athari nyingi hasa za kimfumo wa uzazi zinamwangukia mwanamke, ni vyema kuona anapata watoto mapema.
Ni nadra kwa mwanamke wa...
Ipo ivi mm ni mama ninamiaka 29 sasa ..naombeni busara zenu kuishi vipi na uyu mwanaume ..tumezaa watoto wawil apa kati tuliachana lakini nyumbani awakuelewa na hawataki kusikia ilibdi niludi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.