Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
30 Reactions
105 Replies
2K Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la wachezaji kutoka pande zote za bara la Afrika (kaskazini, Mashariki, Magharibi, Kati, Kusini) kuingia katika ligi yetu hasa vilabu mbalimbali hapa nchini. Hivi hawa wa...
0 Reactions
5 Replies
42 Views
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye. Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
9 Reactions
166 Replies
2K Views
  • Poll
Jf amani iwe nanyi. Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oct 2030, 77% ya wapigakura wote watakuwa ni Vijana wa 2000s` Mrithi sahihi wa Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya CCM lazima awe ni mgombea...
4 Reactions
178 Replies
4K Views
Salaam, Shalom!! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
18 Reactions
131 Replies
2K Views
Simba sc ipo katika wakati mgumu sana inayochangiwa na presha ya mashabiki wanaopiga kelele kuwa timu yao inakiwango kibovu. Ikumbukwe Simba SC imetolewa katika kombe la shirikisho linalozaminiwa...
2 Reactions
15 Replies
325 Views
Hii huwa inanishangza,je mpira ni kipaji au kujituma? Kibu ana kipaji au anajituma Utaambiwa anajituma
2 Reactions
19 Replies
245 Views
Naitakia Simba Ushindi. nguvumoja . KIKOSI CHA AZAM KITAKACHOANZA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA HT FT
8 Reactions
290 Replies
8K Views
Utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua, watu wanaojua matumizi ya hela akaunti zao zinasoma hela ndogo ndogo tu; kama elfu kumi, ishirini au hamsini na haizidi laki; ila kwa wale wasiojua...
3 Reactions
25 Replies
165 Views
Zitto Kabwe amesema mwaka 2012 alipata changamoto chama chake cha wakati huo cha CHADEMA akidai ilikuwa juhudi ya kumzuia kuwa mwenyekiti wa chama hicho, Zitto amesema kulikuwa na makubaliano...
6 Reactions
73 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,112
Posts
49,508,387
Members
666,953
Latest member
Ngitejo
Back
Top Bottom