Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hapa naangalia mechi ya CAF ya Confederation wanacheza Dream (DFC] ya naija wapo homeground wameshakula chuma 3-0 dhidi ya mafarao wa Zamalek. Ukiangalia makosa ni yaleyale ya siku zote kama timu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Siku za hivi karibuni tumeona makatibu wa chama kwenye kata wakipewa pikipiki maeneo mbalimbali Tanzania Hata hivyo mgao huo umejenga chuki na makundi kwa wanaccm wenyewe kwa wenyewe Madai ya...
1 Reactions
9 Replies
325 Views
1. Zali la mentali – Profesa Jay ft Juma Nature 2. Starehe – Ferouz ft Profesa Jay 3. Latifa – MB Dogg 4. Bongo Dar es Salaam – Profesa Jay ft. Lady Jaydee 5. Darubini kali – Afande Sele ft Ditto...
11 Reactions
53 Replies
4K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Breaking: Benchika ameachana rasmi na Simba SC baada ya makubaliano ya pande zote mbili. ---- Kocha mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha pamoja na wasaidizi wake rasmi wameachana na klabu ya...
9 Reactions
62 Replies
3K Views
Nina shida na Viyoo vya Rangi mbalimbali kadirio ni sheet 16. Mwenye navyo naomba tuwasiline.
1 Reactions
3 Replies
170 Views
Wana Lamadi na wana Bunda karibuni. Nahitaji Basi ambazo hazipiti njia ya Mwanza bali njia ya Bariadi na Maswa. Nauli bei gani?
1 Reactions
14 Replies
210 Views
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo...
56 Reactions
602 Replies
31K Views
Mimi ni kijana wa miaka 25 Natafuta kazi ya Usafi, House Boy. Elimu yangu ni kidato cha 6 pia nina cheti cha udereva🙏
3 Reactions
3 Replies
201 Views
Binadamu tumeumbwa kusahau. Ngoja niwakumbushe mambo mawili matatu ambayo yaliibadilisha Simba kutoka katika mkwamo iliokuwa nao. 1. Tunasahau Simba ilikuwa inacheza hadi dakika ya 60 inakata...
4 Reactions
20 Replies
465 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,317
Posts
49,515,474
Members
667,069
Latest member
shedlib
Back
Top Bottom