Dhana ya muda mrefu, ya Freeman Mbowe, Kulambishwa asali, sasa ni dhahiri, baada ya Mr. Mbowe, kuanza kusambaza kiasi kikubwa cha fedha ambazo chanzo chake hakijulikani kwenye chaguzi tofauti...
Anaupiga mwingiiiii,,,,,,,,,,,kusifia kumekuwa jambo la kipaumbele zaidi licha ya wanachi majimboni hawaogi wiki nzima kwa kukosa maji bombani
hakuna mijadala ya kuwaweka kitimoto wapigaji, hata...
1. Hawa ndiyo wale vigogo wachache wa aina ya South Africa huko:
2. Kwamba Natenyahu ni kama yale mapanya road yale ya pande za kwetu tu?
3. Ana sifa gani, wapi, kiumbe huyu kwenye ulimwengu...
Jf amani iwe nanyi.
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oct 2030, 77% ya wapigakura wote watakuwa ni Vijana wa 2000s`
Mrithi sahihi wa Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya CCM lazima awe ni mgombea...
Kama kichwa cha mada hapo juu kinavyojieleza, kuna familia ambazo zimeaminishwa ili waweze kuendesha maisha nipale wanapokuwa katika ajira ,ama shirika au serikalini.
Na familia hizi nyingi...
Habari wanajamvi,
Mimi nikiwa km mdau wa kupiga vyombo ningependa niwawakilishe wala masanga wenzangu tunaopenda kuhudhuria kwenye hizi Baa na Lounge kupata moja mbili Bariiiiiiiidi.
Naona...
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo...
Nauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu??
Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana...
Mimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.