Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu ameingua Mjini Arusha tayari kuongoza Maandamano yatakayoanzia Manyara Lissu ameingilia mpakani Namanga Mlale Unono 😀😀😀😀
3 Reactions
30 Replies
985 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye. Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
2 Reactions
49 Replies
726 Views
Naitwa cecylia ni Agent nafanya clearing ya magari na container kwa bei nzuri bandarini.. Nafanya importation, exportation na pia nauza magari used na chassis no. Nauza magari ya mnada bandarini...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Leo kwenye harakati zangu za maisha nilipita maeneo ya KILUVYA, Kwa nilivyokua nadhani KILUVYA ipo wilaya ya ubungo, baada ya kubishana na jamaa yangu kua KILUVYA sio dar nikaenda kwenye ramani...
1 Reactions
13 Replies
84 Views
  • Poll
Jf amani iwe nanyi. Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oct 2030, 77% ya wapigakura wote watakuwa ni Vijana wa 2000s` Mrithi sahihi wa Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya CCM lazima awe ni mgombea...
2 Reactions
104 Replies
2K Views
Zitto Kabwe amesema aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wakati anaingia kwenye siasa, Jakaya Kikwete alimuita na kumwambia ana machaguo mawili kwa kuwa alikuwa anachipukia kwenye siasa, kwanza...
0 Reactions
7 Replies
8 Views
Iko hivi ktk maswala ya kivita sio ukubwa wa nchi au wingi wa watu ulio nao ila niuwezo wa kivita pamoja na ujasusi. Ktk kile kilicho onekana sio kitu cha kawaida Israel walishambulia sehem ya...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Yanga 🆚 Coastal Union 📆 27.04.2024 🏟 Azam Complex - Chamanzi 🕖 12:00 Jioni. Tukutane hapa kwa updates #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza...
8 Reactions
95 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,053
Posts
49,505,666
Members
666,949
Latest member
jackizooh
Back
Top Bottom