Hii sio afya kwa mafanikio ya wenzetu mbumbumbu, muda mwingine inabidi kuwapa ushauri tu ambao mnaweza kuchukua ama kuuacha ikiwapendeza kwa maana akuna Yanga Bora bila Simba imara na akuna Simba...
Ukipata kuangalia makala ya Dark web inaeleza mengi jinsi walifu wanavotumia tovuti kama kuuza madawa,nyaraka kama passport,visa,silaha,human trafic,hitman(wauwaji wa kodi) na n.k
Sasa jambo...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Kwenye Biblia kuna maandiko yanasimulia kisa cha watu wawili kuhusiana na utoaji wa sadaka
Katika mafundisho hayo Bwana Yesu aliendelea kuwaambia wanafunzi wake kuwa unatopotoa sadaka yako...
Yaani TANESCO KIBITI mnatia aibu sana. Kila siku umeme hauwaki mfululizo zaidi ya saa moja au mawili. Hii haijalishi ni usiku au mchana. Yaani ni mwendo wa washa zima. Mjitafakari sana.
Na...
Habari zenu WanaJF mko poa kabisa,
Bila kuchelewa niende kwenye mada ya leo,
Niko Dodoma kibiashara nilichojione kinaleta raha Fulani hivi, aisee Dodoma kutamu jamani.
Nilianza na upande wa...
Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi.
Mitungi jamani mitungi jamani...
Nauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu??
Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.