Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Zitto Kabwe amesema mwaka 2012 alipata changamoto chama chake cha wakati huo cha CHADEMA akidai ilikuwa juhudi ya kumzuia kuwa mwenyekiti wa chama hicho, Zitto amesema kulikuwa na makubaliano...
3 Reactions
37 Replies
1K Views
Naomba ukweli tu ndio usemwe nani mwenye uwezo wa kimedani Kati ya mahasimu hawa wawili kati ya muyahudi na waajemi. Kuna watu wanapenda mambo ya medani japo vita ni kuzimu(hell) ila ni hulka ya...
9 Reactions
181 Replies
3K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Salaam ndugu wakulima nawafugaji Husika na mada tajwa hapo juu Twambie wewe ungefuga myama gani? Karibu
1 Reactions
22 Replies
587 Views
Habari wana Jf tupeane pole juu ya Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Nchini. Juzi kati nilipata msala mdogo amabao ulinipelekea kuwekwa Selo pale kituo cha polisi msimbazi. Baada ya kusolve na...
5 Reactions
53 Replies
1K Views
Kumetokea tabia ya baadhi ya viongozi na wanasiasa kudai hasara au matatizo ya Tanzania ya Mosi kuhamia Dodoma kuliko fanywa na JPM, ni kukosa ueledi wa uongozi, bila kujua Mpango wa Nchi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimemsikia mtangazaji wa Upendo TV akiripoti kutokea Cathedral ya Azania Front akisema hapo ndipo alipokuwa anasali Dr. Karl Peters. Na nimesoma kwenye gazeti fulani kuwa Karl Peters aliruhusiwa...
5 Reactions
26 Replies
826 Views
Leo kwenye harakati zangu za maisha nilipita maeneo ya KILUVYA, Kwa nilivyokua nadhani KILUVYA ipo wilaya ya ubungo, baada ya kubishana na jamaa yangu kua KILUVYA sio dar nikaenda kwenye ramani...
2 Reactions
24 Replies
230 Views
Salaam, Shalom!!! Naamini Kila mtu anajua ya kuwa, chakula ni muhimu Kwa ajili ya AFYA ya MWILI, lakini pia, matabibu wamethibitisha kuwa chakula pia ni chanzo Cha magonjwa mengi tu yanayosumbua...
1 Reactions
6 Replies
25 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,085
Posts
49,507,063
Members
666,956
Latest member
Ngitejo
Back
Top Bottom