Wakuu habari za weekend
Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye...
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko...
Habari zenu wana jf. Nimekuja hapa kuwatumbulishia application mpya inayoitwa Tuni. Hii app inapatikana Google Playstore na ina katuni mbalimbali zinazoweza kumsaidia mtoto wa kwanzia miaka mitatu...
Salaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI...
Ni Joe Kusaga tena…
Waswahili husema mwenye nacho huongezewa, sio sahihi. Mwenye nacho hujiongeza ndipo huongezewa.
Mfanyabiashara na mwekezaji mkubwa nchini aliyejikitika zaidi kwenye tasnia ya...
Wamama wa miaka ya 90 kurudi nyuma walikuwa vyuma kwelikweli.
Walikuwa na uwezo wa kukichapa na kukunyoosha kwa macho tu. Nakumbuka siku nilipotoroka nyumbani kwenda na magenge ya watoto mitaani...
NILIEMDHANIA NI KAHABA KUMBE BIKRA
MTUNZI:SINGANOJR .
AGE:18+
NB:SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA
PDF KUTOKA SEHEMU YA KWANZA MPAKA YA 390 IPIO NITAFUTE WATSAPP 0687151346
PROLOGUE../DIBAJI...
Najua Kuna nyuzi nyingi kuhusu kikokotoo kipya vs kile Cha zamani,
Lakini ili kuondoa utata naomba mods waache huu uzi,
Kwani hili swali likijibiwa utata wote utaisha..
Hili ni maalum kwa WALE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.