Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Eti wakuu? Kuachia ushuzi mara kwa mara ni tatizo au dalili ya tatizo la kiafya? Tusemezane
2 Reactions
15 Replies
189 Views
Watu wengi hudha kuwa kuoga ni takwa la kiafya kumbe sio kweli kuoga kuna madhara mengi kuliko kutokuoga Utafiti uliofanywa na wanasayansi umethibitisha kuoga mara kwa mara huleta madhara kiafya...
4 Reactions
43 Replies
616 Views
Ni mengi yanapita kwenye huu uhusiano, najitahidi kufanya kazi kwa bidii kuimprove standard lakini mwandani wangu ni kama kwake ni tofauti. Mara nyingi kwenye mikusanyiko ya umma ni kama anaona...
8 Reactions
35 Replies
220 Views
Kati ya nchi za Maziwa makuu ni rwanda pekee ndo ineruhusu Ushoga?? Je umewasaidia chochote kwene maendeleeo ?? Nani aliwashawishi kuingia kwene huu mtego
0 Reactions
4 Replies
5 Views
"Hivi ni kweli Zanzibar ina Unafuu wa vifaa vya Kielectroniki? Na vipi kuhusu gharama za kusafirisha bidhaa?" Ni swali ambalo wengi wamekua wakijiuliza kuhusu unafuu wa bidhaa pamoja na gharama...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu habari za weekend Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye...
11 Reactions
141 Replies
1K Views
" Mods Mnakosea sana. Hamtendei watanzania haki. Tunaomba Msiuondoe Huu Uzi. Ni 100% True. Unless mna ukweli tofauti na huu. Kama ni jukwaa huru basi msiondoe huu ukweli" Dhana iliyozungumziwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Unapopanda gari la umma kama kiongozi mwenye dhamana jiandae kisaikologia pia kushuka na kuwa RAIA wa kawaida. Tunategemea kupata mabadiliko makubwa katika nyanja ya kisiasa kuanza mwezi Mei,2024...
10 Reactions
62 Replies
2K Views
Simba na Yanga walishwahi kumtaka Abdul Suleiman Sopu lakini bwana mdogo alikataa ofa za mapacha na kukimbilia chamazi (azam ) siyo kwamba labda bwana mdogo alikua hataki exposure za mapacha...
7 Reactions
40 Replies
908 Views
Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipangi mingia sana ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika hata sielewi. Mitungi jamani mitungi jamani mitungiiiiiiiiiiiii aaaaagh...
1 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,319
Posts
49,515,591
Members
667,069
Latest member
shedlib
Back
Top Bottom