Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna kiwanda kiko Pale Keko karibu na ukumbi wa DDC nadhani ni cha cello. Malipo kwa siku ni sh. 3500 kwa siku ilikuwa kwa muda mrefu. Sasa ni sh. 4000, kazi masaa 12 yaani lisaa limoja sh. Mia...
87 Reactions
271 Replies
10K Views
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
16 Reactions
61 Replies
723 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Naitakia Simba Ushindi. nguvumoja . KIKOSI CHA AZAM KITAKACHOANZA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA
7 Reactions
142 Replies
3K Views
Wapendwa nahitaji kununua gari kati ya Carina Ti na Premio old model ipi ni bora?
2 Reactions
13 Replies
266 Views
wakuu ni aje. Kama kichwa cha habari kinavyojeleza hii ndio post yenye likes nyingi hapa Jf tangu ilipoanzishwa👇 Kama kuna post unahisi ina likes nyingi kuzidi au zinafuatia share hapa
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari zenu wakuu Naomba kupewa ABC kuhusu hii kitu nimekuwa nikifatilia since wayback lakini sijaanza kushiriki mana sijui natakiwa niwe na kitu gani haswa chamsingi Nawasilisha
2 Reactions
9 Replies
206 Views
Khabarini wana jukwaa. Mwaka 2021 nilikutana na dada mmoja mzuri sana, mrembo, mwenye kuvutia na mpole sana ambaye mwanaume yeyote mwenye akili timamu lazima tu angempenda. Basi nikafanya...
25 Reactions
381 Replies
10K Views
Kuna hizi blender zinaitwa SILVER CREST zinauzwa bei rahisi sana hadi 55,000 alafu wanaziita Heavy duty, kwanini zinaonekana bei rahisi sana lakini zinauwezo mkubwa, Wataalumu mnipe siri kuhusu...
1 Reactions
11 Replies
98 Views
Salaam, Shalom!!! Naamini Kila mtu anajua ya kuwa, chakula ni muhimu Kwa ajili ya AFYA ya MWILI, lakini pia, matabibu wamethibitisha kuwa chakula pia ni chanzo Cha magonjwa mengi tu yanayosumbua...
1 Reactions
5 Replies
25 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,082
Posts
49,506,978
Members
666,955
Latest member
Ngitejo
Back
Top Bottom